Sunday, July 09, 2017
Orodha ya wagombea wa TFF waliyochujwa katika usahili.......Jamal Malinzi Kaondlewa

Jumamosi ya July 8 2017 kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF ilikutana kwa mara ya kwanza baada ya kuvunjwa na kuundwa upya na kikao cha kamati ya utendaji ya TFF. Baada ya kikao kumalizika na kufanya usahili wa wagombea wa nafasi zote na kuchuja, orodha ya wagombea waliyochujwa nafasi ya Urais ni pamoja na Rais...
Taarifa ya serikali kuhusu watumishi waliokata rufaa ya vyeti feki

WATUMISHI WA UMMA WALIOKATA RUFAA KUHUSU UHALALI WA VYETI Watumishi wa umma waliowasilisha vyeti vyao vya kuhitimu kidato cha nne, cha sita na ualimu kwa ajili ya rufaa katika Baraza la Mitihani la Taifa (NETA) kuhusu zoezi la uhakiki, wanatakiwa kuwasiliana na waajiri wao ili kupewa matokeo ya hatma ya rufaa kuhusu uhalali wa vyeti vyao. Ipo taarifa...
Mwananchi Mmoja Auawa kwa Kupigwa Risasi Kibiti

Mkazi mmoja wa kitongoji cha Nyambwanda kilichopo katika Kijiji cha Hanga wilayani Kibiti aliyetambulika kwa jina la Hamis Ndikanye (54) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumamosi akiwa nyumbani kwake. Kwa mujibu wa maelezo ya ndugu wa marehemu alijitambulisha kwa jina la Hamis Saidi amesema watu kama watano wakiwa na bunduki walifika nyumbani kwa...
Waziri Mkuu Atembelea Mradi Wa Kinyerezi II

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi ya kuzalisha umeme wa Kinyerezi II na kusema kwamba ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wake. Amesema hayo jana (Jumamosi, Julai 08, 2017) alipotembelea mradi huo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia unaojengwa eneo la Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu alisema kukamilika kwa mradi huo kutaliwezesha Taifa kuwa na umeme...
Jeshi La Polisi Laua Watu 6 Jijijini Mwanza.......Ni Majambazi Hatari Yaliyokuwa Yametoroka Kibiti Na Kuingia Mwanza

Majambazi sita wameuawa kwa kupigwa risasi sehemu mbalimbali za miili yao na Jeshi la Polisi baada ya kutokea majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi hao na kupatikana silaha moja aina ya AK 47 na nyingine nne zilizotengenezwa kienyeji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Ahmed Msangi amesema tukio hilo limetokea usiku wa Julai 8, 2017, ...
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 9

...
Saturday, July 08, 2017
Lowassa Amlilia Waziri wa Usalama Kenya

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametuma salamu la rambirambi kufuatia kifo cha Waziri wa usalama wa Kenya, Meja mstaafu Joseph Nkaissery aliyefariki ghafla katika hospitali ya Karen iliyopo Nairobi muda mfupi baada ya kupelekwa kwa uchunguzi. Meja Joseph Nkaissery alipelekwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kiafya kabla ya umauti kumkuta, Mkuu wa Utumishi wa Umma...
Bodi ya mikopo yajipanga kutangaza vigezo vya wanufaika

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema hivi karibuni itatangaza sifa na vigezo vitakavyotumika kuwapangia wanafunzi mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018 unaotarajia kuanza miezi michache ijayo. Ufafanuzi huo umetolewa jaa (Ijumaa, Julai 7, 2017) jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Dk...
MTANZANIA Anayeigiza Kama 'YESU' Asimulia yanayomkuta

Msanii wa kuigiza Ayoub ambaye katika tamthilia ya 'Jambo na vijambo' anaigiza kama Yesu amefunguka na kusema kuigiza kama Yesu katika tamthilia hiyo inamletea shida kwa baadhi ya watu ambao siyo waelewa. Ayoub alisema hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha eNewz na kudai kuwa kuna wakati hata majirani waligombana na mkewe na hawakutaka kusemeshana naye kwa kuwa mumewe...
HAMISA Amchokonoa Zari, Ajiita 'Mama Dee...'

Mrembo Hamisa Mobetto anazidi kuzichukua headlines tangu ilipojulikana kuwa ni mjamzito mpaka ujauzito wake kuhusishwa na Diamond Platnumz mpenzi na mzazi mwenzake na Zari The BossLady na raundi hii amepost picha akiwa Nairobi na kuandika Mama Dee..? Wanasema mwenye macho haambiwi tazama.. ...
JACK Wolper Aweweseka Juu ya Mpenzi Wake Mpya

KWA kuonyesha ni kumpa dongo mpenzi wake wa zamani, staa mwenye mvuto wa kipekee Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amesema kuwa katu hawezi kumuweka hadharani mpenzi wake mpya kwa kuogopa kuibiwa tena na wazungu. Staa huyo alituma dongo hilo kupitia mtandao wake wa Snapchat, ambapo alikuwa akisema kuwa, anatamani sana kumuweka hadharani mpenzi wake huyo mpya lakini anaogopa kunyakuliwa...
Jini Kabula Adaiwa Kuzua Timbwili Hotelini

MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ juzikati alidaiwa kuzua timbwili la aina yake kwenye Hoteli ya Lamada iliyopo Ilala jijini Dar baada ya tatizo alilolipata siku chache zilizopita la kudata kiakili kudaiwa kujirudia. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo hotelini hapo, mwanadada huyo alienda Lamada kumfuata msanii mwenzake Esha Buheti ambaye ndiye shosti wake mkubwa kwa...
Monday, June 20, 2016
6 Reasons Why Your Long Time Boyfriend Will Never Marry You (Must Read Ladies)
21 June 20161. He has enjoyed every part of you :Nobody likes to eat rice all the time or beans, consumers always change taste in this case guys are the consumers. He has been strafing you for months and years same Kitty-Cat, same bo-obs.The guy got to change taste.2. All you bring is your problem or family’s for...
Ten Romantic Activities to Inspire Couples
21 June 2016If you’re wanting to know how you can be more romantic in your relationship, you’ve come to the right place. The sky’s the limit when it comes to inspiring romance. Assigning high priority to daily acts of romance strengthens bonds, and enhances the quality of long-term partnerships. This article aims to give romantic relationship advice and...
9 powerful Sentences that Can Change Your Life
20 June 2016Here are 9 powerful sentences that can change your life for the better.1. “Go where you’re celebrated, not where you’re tolerated.”2.“The person that you will spend the most time with in your life is yourself, so you better try to make yourself as interesting as possible.”3. “If you accept your limitations you go beyond them.”4.“Everyone you...
Manchester United Transfer News: Zlatan Ibrahimovic Rumours Discussed by Agent
Mino Raiola, Zlatan Ibrahimovic's agent, has described the possibility of the striker joining Manchester United as a "beautiful thing" and believes he wants "revenge" on Manchester City boss Pep Guardiola after the pair fell out at Barcelona.Moving to Manchester United would be a beautiful thing. It's a great team with a great coach. I've made my decision, but it...
West Ham are aiming to win the Premier League title next season, insists David Sullivan
West Ham will start the new Premier League season with the aim of winning the title, according to David Sullivan.The Hammers finished seventh last season, which represented the club's highest finish and best points tally in the Premier League era.But Slaven Bilic's side are determined to continue to build on such success and the club's co-chairman has set his sights on replicating...
Tottenham 'close to signing Victor Wanyama from Southampton'
Tottenham are close to making Southampton's Victor Wanyama their first signing of the summer, after the two clubs agreed a fee over the weekend. Wanyama is set to undergo a medical on Monday, before potentially linking up with his former boss from St Mary's.The fee, believed to be around £9million up front, could potentially reach up to £12m provided additional clauses are met. The...
Tanzania/Algeria: Young Africans Suffer a 1-0 Defeat in Algeria
Bejaia — Tanzania representatives in the African Confederation Cup championship, Young Africans has tonight suffered a 1-0 defeat from hosts MO Bejaia in group A match in Bejaia, Algeria.DR Congo's TP Mazembe harvested three points after a 3-1 win against visitors Medeama of Ghana in another group A match on Sunday.It took MO Bejaia 20 minutes to score...
Kenya: Varsity Student Crowned Miss Tourism

A 22-year-old mass communication student is the fairest of them all. On Saturday, Ms Wendy Omolo from Homa Bay County was crowned Miss Tourism Kenya 2016 during a gala night held at Kidundu Stadium, Vihiga County.Ms Omolo took home the coveted title in the finals against Uasin Gishu's Kezia Matakala and Winnie Chepng'etich from Bomet County.Ms Matakala emerged second,...